Nadhani ilikuwa yapata saa 6 na kitu usiku mitaa Sinza siku ya Jana. Nakumbuka kwa mbali wadau niliokuwa nao waliniongoza kuelekea kwenye gari yangu ili niweze kuondoka eneo la tukio. Baada ya hapo nimejikuta nimelala chumbani leo nikiwa na viatu, Kushtuka nikakimbilia nje nikakuta gari...
Ni ukweli usiopingika kuwa zipo sababu kadha wa kadha zinazosababisha tatizo hili. Karibu nikufahamishe vitu vinne vinavyokufanya usikamilishe kazi zako.