Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
JF hii mhhh...
Hivi mtu anapoanzisha uzi wa aina hii anakuwa na lengo gani hasa?
😂😂Jaman nifanyeje nna sura ngumu kama chapati iliokosa mafuta nifanyeje
Nina sura ngumu jamani nitumie nini ili kidogo niwe na angalauwww.jamiiforums.com
Labda ana audience yake ambayo anai target. What does she get in return, well; who knows! [emoji23][emoji23]