*Tafadhali Ukialikwa Nenda Kale Sepa Mambo Ya Kusumbua Watoto Wa Aliyekualika Mara Unasoma Darasa La Ngapi Mara Nihesabie Mpaka 10, nitajie table ya 6 Hatutaki[emoji12][emoji12]*
Hivi we ni mnywaji wa bia?
Hapana hazitakuwepo
Siwezi kuweka hicho kinywaji ni dhambi kwa Mungu.Sasa wanywaji Bia inakuwaje
Sorry, kwenye uzi huu nakumbuka Kuna mahali ziliwekwa picha nyingi Sana za nyumba.Mimi natumia Fresh juice Tu nilikuwa namuulizia bro capitalpool Bia
Sorry, kwenye uzi huu nakumbuka Kuna mahali ziliwekwa picha nyingi Sana za nyumba.What happened in GRAM stays in GRAM
Hehehehe unakosa uhondoππππ nyie kanyweni tu mimi nipo sana
capitalpool ni mnywaji wa bia?
Mimi sitaki huo uhondo πHehehehe unakosa uhondo
SawaYeah anatumia
Sorry, kwenye uzi huu nakumbuka Kuna mahali ziliwekwa picha nyingi Sana za nyumba.
Tafadhali Kama unaweza nikumbusha page gani.
Nitafute kibanda Cha kumalizia uzee wangu.