nasikia ile mechi iliowakutanisha waarabu wa jangwani inategemea kurejewa tena nchini afrika ya kusini.
sijui zile VAR zimeshafanyiwa matengenezo nahofia zisije zikagoma tena kwa tatizo la kupoteza power.
CAF have announced that the Champions League final second leg held between Wydad Casablanca and Espérance is set to be replayed in a neutral venue