moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jun 8, 2019 #968,501 Likes ziendelee
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jun 8, 2019 #968,502 .
The Happiness JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 6,990 Reaction score 45,415 Jun 8, 2019 #968,503 Cole Williams said: Are you C.E.O either ? Click to expand... Yes,....Of my life lakini
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jun 8, 2019 #968,504 moudgulf said: Natumai mko poa Click to expand... 👍
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 8, 2019 #968,505 -''BALTIC SEA ANOMALY." Hiki ni kitu kikubwa mfano wa mwamba wa chuma (rocky) katika bahari ya baltic..
-''BALTIC SEA ANOMALY." Hiki ni kitu kikubwa mfano wa mwamba wa chuma (rocky) katika bahari ya baltic..
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jun 8, 2019 #968,506 moudgulf said: Likes ziendelee Click to expand... 👍👍
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 8, 2019 #968,507 kitu hicho kiligunduliwa na peter linberg na dennis asberg huko sweedeni ndipo walipo chukua picha ya kifaa hicho na kusambaza mwaka 2011,
kitu hicho kiligunduliwa na peter linberg na dennis asberg huko sweedeni ndipo walipo chukua picha ya kifaa hicho na kusambaza mwaka 2011,
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 8, 2019 #968,508 na kukibatiza jina kifaa hicho "baltic sea anomaly".. hiki kifaa kinapatikana katikati ya bothnia sea ,kaskazini mwa bahari ya baltic ..
na kukibatiza jina kifaa hicho "baltic sea anomaly".. hiki kifaa kinapatikana katikati ya bothnia sea ,kaskazini mwa bahari ya baltic ..
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 8, 2019 #968,509 hicho kifaa kilikuwa na mwonekano wakushangaza na unambiwa ni kikubwa kina urefu wa mita 60,
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 8, 2019 #968,510 kina baadhi ya vitu kama mfano wa taa,ngazingazi n.k ambapo kiuhalisia kinaonekana hakija tokea natural.
kina baadhi ya vitu kama mfano wa taa,ngazingazi n.k ambapo kiuhalisia kinaonekana hakija tokea natural.
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jun 8, 2019 #968,511 Usiku uliopita jijini Jeddah Saud Arabia mambo yalikua moto
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 8, 2019 #968,512 Na chakushangaza kitu chochote cha umeme(erectronic) hakifanyi kazi kikiwa kalibu na maeneo hayo mfano sim haishiki network apo,
Na chakushangaza kitu chochote cha umeme(erectronic) hakifanyi kazi kikiwa kalibu na maeneo hayo mfano sim haishiki network apo,
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 8, 2019 #968,513 ,boat huzima ikipita maeneo ya hicho kitu, pia vitu vingine vyote vinavyo tumia umeme havifanyi kazi sehemu hiyo...
,boat huzima ikipita maeneo ya hicho kitu, pia vitu vingine vyote vinavyo tumia umeme havifanyi kazi sehemu hiyo...
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 8, 2019 #968,514 kitu ambacho kime washangaza wengi na kuzua mijadara ,watafiti wengi waliwekea mlengwa wao kwa ufology
kitu ambacho kime washangaza wengi na kuzua mijadara ,watafiti wengi waliwekea mlengwa wao kwa ufology
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 8, 2019 #968,515 ,kama tabloid news paper wali chapisha makala na kusema kuwa hicho ni chombo cha uharibifu cha aliens ambacho kilipotea bada ya meli yao ya aliens ilipozama katika bahari hiyo kipindi cha ANCIET ERA,
,kama tabloid news paper wali chapisha makala na kusema kuwa hicho ni chombo cha uharibifu cha aliens ambacho kilipotea bada ya meli yao ya aliens ilipozama katika bahari hiyo kipindi cha ANCIET ERA,
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jun 8, 2019 #968,516 Vipigo vikali vilishuhudiwa..
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 8, 2019 #968,517 wengine kama MSNBC wali sema hicho ni flying saucer kutoka sayari za mabali huku wengine wakisema ni alien spaceship.
wengine kama MSNBC wali sema hicho ni flying saucer kutoka sayari za mabali huku wengine wakisema ni alien spaceship.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 8, 2019 #968,518 pia wapo ambao wana amini hicho kitu ni aina tu ya mwamba ambao umejitengeneza by nature hayo yalisemwa na volker bruchert proffesor wa geology
pia wapo ambao wana amini hicho kitu ni aina tu ya mwamba ambao umejitengeneza by nature hayo yalisemwa na volker bruchert proffesor wa geology
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 8, 2019 #968,519 lakin wali mpinga kwasababu kama ni mwamba wakawaida kwanini vifaa vya umeme(erectronic) havifanyi kazi kalibia na kifaa hicho cha Baltic sea anomaly.
lakin wali mpinga kwasababu kama ni mwamba wakawaida kwanini vifaa vya umeme(erectronic) havifanyi kazi kalibia na kifaa hicho cha Baltic sea anomaly.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 8, 2019 #968,520 Naunambiwa mpaka sasa hakuna jibu kamili au uthibitisho wa kuhusu hicho kifaa kama ni kitu gani na kimetokana na nin..utafiti bado unaendelea....
Naunambiwa mpaka sasa hakuna jibu kamili au uthibitisho wa kuhusu hicho kifaa kama ni kitu gani na kimetokana na nin..utafiti bado unaendelea....