mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahaha kiki za kijinga
TeheteheteheNamshukuru Mungu, nina afya njema kabisa.
Yaani hata kama kuna mdada yeyote kitaani huko anahitaji uji asijali,nipo.Ninauwezo wa kumtengenezea uji wa dona hata vikombe vitatu kwa muda mfupi tu...
Uwe na wikiendi njema ankoo[emoji120][emoji120]
Mzee anazeeka vibaya sana anasahau Alichoongea Jana yake
Ukiwa muongo unatakiwa uwe na zaidi ya kumbukumbuMzee anazeeka vibaya sana anasahau Alichoongea Jana yake
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo imefunguliwa na kiongozi mwandamizi wa chama ?Nilipita majuzi kati hapo naona ufisadi mtupu anyway itasaidia kidogo wakati mvua si unajua kampeni zimeanza serikali za mitaa
Hasa kwa Raia Namba moja TZUkiwa muongo unatakiwa uwe na zaidi ya kumbukumbu
Hii Vita ya kiuchumi sijui nani atashindaFacebook nayo yaitimua Huawei kwenye huduma zake
Kampuni ya Facebook imeingia rasmi katika vita vya kiuchumi baina ya Marekani na China ikizuia huduma wezeshi (APP) zake kutumika katika simu za Huawei. Zuio hilo linalenga huduma mama ya Facebook na nyingine kutoka kwa kampuni washirika ambazo ni WhatsApp na Instagram. Hatua hiyo inafuatia...www.jamiiforums.com
Mbunge wa Dom town na Naibu waziri walemavu kazi ajiraNdo imefunguliwa na kiongozi mwandamizi wa chama ?