na yote hiyo ni kutokana na uvumi ambao umeenezwa ya kwamba eti nguva ni nusu mtu pia nusu samaki, tena samaki ambaye ni mwanamke, pamoja na uvumi huo lakini hata siku moja katika haikuwahi oneshwa viumbe hao madume wake hufanania vipi, pia haijawahi thibitishwa kwamba dume la nguva huyo avumaye naye huwa na muonekano huo huo wa samaki mwanamke.