Nguva jike ndio huwa na tabia ya kubaini kuwa dume limepevuka hivyo majike ndio huyawinda madume, na hii hupelekea majike kutoka sana na madume yanayochipukia (sengereti hahaha)
Madume ya Nguva mapenzi kwao ni ziada sana, muda mwingi hujiweka bize kurinda mipaka yao tuu na shughuli nyingine mpaka hapo jike litapoamua kuwapigia misele.
Hula mimea inayomea majini na hutikisa kichwa chake baada ya kuweka chakula mdomoni kwa lengo la kutenganisha chakula na mchanga hususani pale atapoamua kutafuna na mizizi.