myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mwambie aache kazi ya utunza kumbukumbu na kufukua fukua makaburi hovyo hovyo [emoji16][emoji16][emoji16]Fraggy binti mcheshi heri ya Jumapili
RIP
Baadhi ya maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi Tanzania, wakiongozwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, wameungana na wananchi wengine katika maziko ya Kamanda Aziz Juma Mohammed aliyezikwa mchana huu katika makaburi ya Mwanakwerekwe, Mkoa wa Mjini Magharibi. Mpaka anafariki dunia, Kamanda Aziz alikuwa Mkuu wa Mapambo na Sherehe wa Jeshi la Polisi Tanzania.Alikuwa ameshastaafu?
Apumzike salama...
Hakuna sababu nyingine zaidi ya hiyo niliyotoa [emoji16][emoji16]Sema hapo wewe ulitakiwa utupe sababu kwanini mnalia ????[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Yaani![emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
It wasn't me [emoji16][emoji16][emoji16]
Aaaa wapi !!!Sio wote wanaolia ujue...
Mainly wanalia kuacha familia zao when the bride is very young..