Hakuna sehemu kama nyumbani
Kachakachuliwa mpaka anapoteza uhalisia wake
Nikweli midfielder kisheti, hivi hauna kazi yeyote ya huyu Six O'clock ?Home is where the Heart is Mkatalunya
Baadhi ya maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi Tanzania, wakiongozwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, wameungana na wananchi wengine katika maziko ya Kamanda Aziz Juma Mohammed aliyezikwa mchana huu katika makaburi ya Mwanakwerekwe, Mkoa wa Mjini Magharibi. Mpaka anafariki dunia, Kamanda Aziz alikuwa Mkuu wa Mapambo na Sherehe wa Jeshi la Polisi Tanzania.
View attachment 1122698
Poleni wa bajaji..
Wagonjwa Mungu awaponye
Amani itawale jioni yetu