D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
youtubeMkuu haya maneno ya mchambuzi gani? najua ulaya wanampigia sana upatu ronaldo sababu anatoka kwao , kuhusu haya magoli ya kuchop natamanigi Rashford awe anayafunga pia
Messi is not a typical goal poacher that stays in the box and still manages to produce crazy goal-scoring stats. He isn't dependent on the service his team's provide. He doesn't wait for crosses and assists to score goals and tap-ins. The way Ronaldo scores his goals he depends on his team's service. The way Ronaldo gets his goals he relies on the quatity and quality of service his teams provides. Ronaldo depends entirely on service. Messi can score great individual goals by taking players on and going on to score. He can score goals out of nothing and doesn't rely on the service of his teammates.
sijaandika mimi, ubongo wangu hauna uwezo wa kufanya analysis kama hizoHizi habari wenye mahaba na Ronaldo hawawezi kukuelewa. Football is a game of art
Mmh amekuwa mhenga tayari[emoji125][emoji125]
kuna ukweli ndani yakeHizi habari wenye mahaba na Ronaldo hawawezi kukuelewa. Football is a game of art
youtube
sijaandika mimi, ubongo wangu hauna uwezo wa kufanya analysis kama hizo
ngoja nimwite huyu mutu ya lisbonCR7 ananifurahishaga utakuta yupo yeye na kipa anapiga shuti la hatari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Carrot imecheza kama pele[emoji13]
kilichomo ndani sijakisoma najua ni rubbish kwa kauli ya tundu lissu.
hata kuandika hajui, hati zimegandana kama makalio ya sokwe
Nimejichua ndani ya Chumba cha mtihani.
O...! Oi,,Inakuaje wajuba humu ndichi?natumai mko Echu kabisaa,,niache perepete mingi acha nisololoe direct kwenye topic,,Juzi(Ijumaa)Tulianza rasmi mitihani ya Second semester chuoni yaani UE(University Examination)Sasa bhana Mjuba natimba wanchi wade fas ya Chumba cha mtihaawise nikaenda kukaa...www.jamiiforums.com
Ila wameelezea kiufundi zaidi hapo ni sisi tu kubaki na mahaba yetunimeukuta youtube nikauhifadhi, nikikutana na vichwa ngumu niwashushie nondo kumbe plagiarism π π π
ngoja nimwite huyu mutu ya lisbon
Numbisa
Kweli...nimechoka makala ndefu sana
messi na ronaldo wote mahodari.
mjadala ufungwe
Ata kidogoHizi habari wenye mahaba na Ronaldo hawawezi kukuelewa. Football is a game of art
teh teh teh kwa mujibu wa matangazo yake carrot inaondoa mpaka tatizo la umasikini wa kujitakia.Carrot imecheza kama pele[emoji13]
swadakta, ubongo wa daemusin haufanani kabisa na ubongo wa kiranga kimatumizi.Utofauti wetu binadamu ni mkubwa sana ikija kwenye swala la matumizi ya Bongo zetu