sawasawa...Umakini na tahadhari zaidi vinahitajika ikiwa utaamua kuendesha gari wakati hali ya hewa ikiwa siyo nzuri, yaani kuna maswala kama vile mvua au ukungu.
👍 👍Usikaribie gari jingine sana
Kwasababu ya kutokuona vyema pamoja na utelezi wakati wa mvua au ukungu, inashauriwa kutokulikaribia gari lingine sana.