Nimecheka sana baada ya kuupitia huu uzi,,umekuwa uzi wa kuwatukana x zao[emoji2][emoji2][emoji2]Huu wa kitambo, sikuwahi kuuona ila comments zinafurahisha sana.
Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?
Mimi binafsi huwa sipendi kusikia jina Lucy. Ooohhh what's the f**ck lucy. Hujawahi kuacha moyo wangu salama baada ya kunisaliti live. Nilijifunza vingi kwako ambavyo mpaka sasa nikikutana na mwanamke anavyo sitakuwa na mahusiano nae. 1. Ni mwongo kiwango cha lami na simu zake zimepandiliana...www.jamiiforums.com
Nashuka nao taratibu hapa.I hope ntakutana na povu la mwananzengo 😃 😃 😃 .Nimecheka sana baada ya kuupitia huu uzi,,umekuwa uzi wa kuwatukana x zao[emoji2][emoji2][emoji2]