Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

No usilie mpendwa Numbisa analo,Fragaria pia mashallah 😀😀😀
 
Picha ya Numbisa iliwekwa Jana nilitaka kuwastua wakuu muone jinsi gani mtoto kisu Sema nimeogopa ban[emoji12]
Iliwekwa wapi?

We ni mtu wa pili sasa kusema kuwa eti ni mkali balaa. Hii lazima itakuwa kweli...

[emoji3591][emoji3591]Ila akija kivingine kuna hatari ya kuchezea vitasa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…