Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mimi sijambo kabisa. Natumaini hata wewe mambo ni shwari. TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545]Nakushukuru Bro. Vipi habari ya uzima wako?
Kijana mpole mbona umefurahi hivyo?
Ai wish Ningekuwa na akaunti ya twitter nikaone huyu mchaga anavyotetema [emoji16][emoji16][emoji16]
Haitwi Bibi Sandra anaitwa Bi Sandraπππππ€ΈπNa yeye yumo kumbe View attachment 1125841
[emoji3][emoji3] ukizubaa unaweza kukuta ushawekwa kundi la andaeitini humuUmenifurahisha ulivyo ngβaka sikutegemea
Kamwulize Mondi ndio mwenye mama yakeIla unauza nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kutetemesha matako yake ni kinyume cha sheria bro?Hivi huyu anafanya mambo haya mamlaka gani na kwanini
Ndoroooboe πππ[emoji23][emoji23] SI uyo manka,,nikimkumbuka nitakunong'oneza japo Ni kitambo kidogo aliomba msama lakini sura kavu kama dagaa