carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tena kwa # kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]kajiwahi mpaka katushangaza wananzengo
Kamati imeshaamua kama hataki athibitishe si vyake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumeshapitisha ni chake hicho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti mitihani.Harakati za Pimbi[emoji1][emoji1][emoji1]
Mimi ni zaidi, nilitarajia nikutafute kabla ya Idd lakini kuna kakaako humu akasema upo kwenye mitihani na haukuwa hewani.
Nimefurahi sana
[emoji23][emoji23][emoji23]kamati ya kuzoom picha imekubaliana kuwa hivi ni vidole vyako hadi pale utakapothibitisha vinginevyo[emoji23][emoji23][emoji23]hahahahahahahahah
Kinaonekana kabisa sio changu.Hamna haja ya kuprove [emoji2]
Habari za masiku?
Salaam carba
Salama kaka ake.Safi habari za siku dadake
Jirani hujambo? hongewa sana...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tena kwa # kabisa
Bhanaaa eeeh!!Heheheee
#ningekwambiajiraniamsoreee
#ilaningefaidikuchazileuwiiifullmpapaso
Wakubwa mnafaidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#Namiminingefaudupalekifuani
#fullkuchomwachomwa
#nawafuatiliakwamakini#Heheh!
#siwezikusahaumilele
#[emoji23][emoji23][emoji23]
Habari yangu ni njema ila unataka kuitibua.Yale ya jana yashapita bana π .[emoji23][emoji23][emoji23]kamati ya kuzoom picha imekubaliana kuwa hivi ni vidole vyako hadi pale utakapothibitisha vinginevyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Salama kabisa,habari yako.
Sijambo jirani.Jirani hujambo? hongewa sana...
Bro hadi wewe unagandamizia π πππππ tumeshapitisha ni chake hicho