Salaam Bradha[emoji120][emoji120]
Msome bro SYB bandiko lake, kwenye kumkanda na kumlainisha misuli lazima uibie mahaba na uvae kimtego.
Amen[emoji120][emoji120]
Na iwe na kwako pia
Binadamu tunakili sana kuweza kuelewa asili inataka nini lakini wadudu wanatupa picha ya kuishi na familia zetu kwa upendo na ushirikiano katika majanga na amani.