myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Zinajiingizaje sasainakuaje hizi like leo zinajiingiza wenyewe?
ni mimi peke yangu ndiye ninayekutana na haya maajabu?
mouse nikimweka kwenye sehemu ilioandikwa thanks anajibonyeza wenyewe.Zinajiingizaje sasa
#mmhkiswahilihiki