capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Ndio maana sipendi kupeana mikono
Safisha mikono yako kwa maji moto safi na sabuni kila kabla ya kula na baada ya kula chakula.Ndio maana sipendi kupeana mikono
Then osha mikono kwa maji moto, safi na sabuni kila kabla na baada ya kula kucha.Watu wengine tunakula ata kucha sio chakula tu
😀😀 aiseeThen osha mikono kwa maji moto, safi na sabuni kila kabla na baada ya kula kucha.
Ni rahisi