capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Siku hizi naogopa kutukana Mamba kabla ya kuvuka Mto mana soccer lina mambo ya ovyo ovyo sana. Ila matumaini yapo makubwa King na genge lake wanaweza kufanya jambo huu usiku....sheikh messi anasemaje usiku wa leo?
colombia vs argentina
saa 7 usiku
Watu sijui wanawazaga nini tu View attachment 1128669
Hahah!Watu ni shwaini bro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]