Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mi mmasai bana nasema mi mmasai..ni kitu najifunia masi fahari yangu,nadumishe
mila ila wengine ilishashindwa tamaduni yenye ngufu iliobaki
afirika....
Salidarama jua inachoma kama pasi,kama hapana oga hawezi pata
singizi, salidarama hata kama ni maji nauzwa..
Gari ina derefa naongozwa na
mataa ile taa najua saidi kuliko dereva...
Kama we iko kosa nakua ya
jinai,jinai mtu ya wapi kila kosa hakatai....nasingiziwa sana au ni rushwa
atoi,nachafuliwa jina na jela hapelekwi...
Na hapa sadarama ni wapi naitwa
bize ukitafuta mtu naambiwa iko bize huko bize ni wapi mbona mimi bado fika
nasikia bize tu na mwaka nakatika..
Temeke ilala magomeni na
michokeni...ostisabei mwenge pamoja kinondonyi pia kuna sinza manzese na
bugurunyi naweza kupotea kama nakosa ramani....
 
437f948e97659b2973a4e356bc78982d.jpg
 
Back
Top Bottom