Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Egypt



Misri ikiwa ndio nchi inayoongoza barani Afrika kwa kuwa na wingi wa watu na ikishika nafasi ya nne kwa Duniani, lakini nayo inashikilia nafasi ya9, kwa uhaba wa mabinti ukilinganisha na idadi ya Vijana (kiume) wote katika nchi.
 
Chanzo kikuu cha upungufu huo wa mabinti ni pamoja na, jinsia hiyo kuwa bize zaidi na kazi mbalimbali maofisini kiasi kwamba hujikuta wamepitiliza muda wao wa kuwa na familia stahiki, lakini pia kama hutambui mabinti wengi wa misri ndio wasomi wenye shahada za juu kabisa kuhusu maswala ya sheria, madawa na sheria hivyo hujikuta wakihama au kuhamishwa kwa wingi zaidi kwenda kuhudumu katika vitengo hivyo kwa nchi nyingine zilizoendelea kama Ulaya na Uarabuni.
β€œA large portion of female Egyptians have advanced degrees and aspire to work in the fields of science, medicine, and law, As a result, a lot of them have been immigrating to more progressive countries, This has left a lot of Egyptian guys with lonely heat”
 
Libya

Libya inashikilia nafasi ya10 duniani kwa upungufu huo wa mabinti wenye rika la kuolewa ukilinganisha na idadi na mahitajio ya wanaume wa nchi hiyo waliowazidi kwa wastani (ratio) wa0.7; yaani sawa na kusema kila mwanamke mmoja anatakiwa awe na wanaume5 ili kuleta uwiano huo sawa.
 
Nchi ya Libya imeingia katika nafasi hii kutokana na mapambano ya wenyewe kwa wenyewe yaliyoendelea kwa muda mrefu tokea enzi za Rais Ghaddaf hadi kifo chake, na hivyo wanaume wengi wa nchi hiyo huchukuliwa kama wapambanaji na wengi miongoni mwao walifia vitani, hivyo kupelekea uchache wao na kuwa na idadi kubwa ya wanawake walio wapweke ukilinganisha na idadi ya wanaume.
 
Iceland



Kisiwa hiki kinashikilia nafasi ya11 Duniani kwa kuwa na upungufu wa kupatikana kwa mabinti wa kuweza kuolewa.

Unapofikiria kuhusu nchi ya Iceland, jambo moja kubwa huja kwenye mawazo yako kwamba ni nchi iliyozungukwa au kutawaliwa na barafu (baridi) katika muda wote wa mwaka (ingawa sivyo), lakini pia ukweli uliopo kwa sasa ni nchi mojawapo yenye idadi kubwa ya wanume ukilinganisha na wanawake waliopo, utofauti wa kiasi cha (1.7%) na hivyo kuwafanya vijana kuwa wapweke wakikosa mabinti wa kuoa, na kulazimika kutoka nje ya nchi yao kutafuta wachumba.
 
Kuliwahi kuwa na uvumi na tetesi kuwa, serikali ya nchi hiyo ilitoa ofa kwa mabinti wa nchi nyingine waliotayari kuolewa na wanaume wa nchi hiyo kiasi cha dola za kiMarekani ($5,000) kwa usiri mkubwa, ingawa Habari hizo ziliposambaa serekali ya nchi hiyo ikajitokeza na kukanusha vikali tetesi hizo na kusema sio za kweli. (Sawaa, kazi kwenu mabinti wa kitanzania, unaweza kuchangamkia fursa hizi – Hahaha, natania..)
 
Philippines



Ufilipino ikiwa ni nchi iliyo maskini zaidi kwa nchi za ukanda wa nchi za bahari ya Pasific, inashikilia nafasi ya12 kwa kuwa na Uhaba huo wa wanawake wakuweza kuolewa, kutokana na kuwa Mabinti wa kiFilipino huihama nchi yao kwa minajili ya kutafuta kazi nje ya nchi yao haswaa maeneo ya Australia, Asia na hadi kwenye nchi za Mashariki ya kati.
 
Matokeo yake sasa, kuondoka kwao huko hupelekea upungufu wa karibu wastani unaofikia (1.02% to 1) na kw takwimu za hivi karibuni zinaonyesha idadi ya wenzi kufunga ndoa imekuwa kipungua siku baada ya siku, na kuweka ukweli juu ya upungufu huu kuwa idadi ya wanawake imepungua.
 
Hizi kashfa hiziπŸ˜€πŸ˜€

#WakubwaWafaidi
 
London (CNN) - A far-right teenager who reportedly branded Prince Harry a "race traitor" and suggested he should be shot after his marriage to Meghan Markle has been jailed in Britain for four years and three months.
 
Weye vipi Mkuu hukujibabatiza? 😜😜😜

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…