Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tulipokutana nilikuahidi kimsisitizo
Kuwa kwako kamwe sitatawa
Japo bahari imechafuka sana
Kwa mawimbi makali hatarishi
Na papa na nyangumi kila kona
Pwani yetu haiko mbali mpenzi
Njoo tuendelee na safari yetu takatifu
Nakuahidi kuwa tutafika salama[emoji1545][emoji1545][emoji1545]

 
Wafalme wanawachukulia binadamu wengine kama sisimizi.
View attachment 1131914
Ndo imeshatoka hiyo...Malipo pengine mbinguni...

Walimuua wakamkata kata na kujaribu kumyeyusha kwenye mapipa ya tindikali. Japo nasikia mchumba wake na watoto wamelipwa mamilioni na kupewa majumba lakini uhai wa mtu hauna gharama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…