Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

😂😂😂😂😂😂tena wengine wakikufumania unaangalia msambwanda huachia tabasamu na muangaliaji wa msambwanda naye anaachia tabasamu kama si domo zege kumekuchaa ushapata upenyo wa kuanzisha gumzo 😜

Unapogeuka kuangalia msambwanda unageuka kwa furaha na ridhiko. Ubongo tayari unatoa homoni za furaha na wala hujui kama umegeuka. Sasa maumivu yatatoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…