Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji16][emoji16][emoji16],,mzee kwenye ubora wake,na ukishaona kaanza haya mavitu basi juu ipo kazi hyo siku

Tumemkumbuka sana,yeye na malkia wake[emoji16]
Na akitoka hapo anaanza kulalamika kuhusu malkia wake na ikiwezekana anaanza kushusha picha za mizimu, pamoja na the one and only one na Amun Ra za kutosha...

Huwa akiwepo uzi unachangamka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…