Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
19:2319:14
Nchi hii bana. Enewei...[emoji116][emoji116][emoji116]Hiki ni kivuko killichopo katika kata ya Lizaboni mjini Songea mkoani Ruvuma. Ujenzi wake umegharimu kiasi cha Sh. 7.8 milioni. Hapa ni wakati kikikaguliwa na Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM ya MkoaView attachment 1136564
19:23