Sikulaumu kamanda. Siku ile uliturusha roho eti unataka kufa unamsubiri Ziraili mtoa roho. Baridi la kule Ziraili hatakukosa. Afadhali tu ubakie huko huko Stendi Yunaitedi [emoji16][emoji16][emoji16]Manchester united wanataka kunisajili wakuu
Ila mi sitaki
Kuna baridi sana kule
Wanataka kunisajili kama mpishi mkuu yangu buyanzaSikulaumu kamanda. Siku ile uliturusha roho eti unataka kufa unamsubiri Ziraili mtoa roho. Baridi la kule Ziraili hatakukosa. Afadhali tu ubakie huko huko Stendi Yunaitedi [emoji16][emoji16][emoji16]
Kama ni kupika nenda. Jikoni hakuna baridi [emoji16][emoji16]Wanataka kunisajili kama mpishi mkuu yangu buyanza
Ni manchester yunaitedi ya hapa kinondoni ipo ndondo mkuu wangu shimba na buyenzaKama ni kupika nenda. Jikoni hakuna baridi [emoji16][emoji16]
Kwa hiyo USA , katwaa kombe ?Full time 2-1 USA [emoji631] goli zote mbili ni za penalties.
Kwa hiyo USA , katwaa kombe ?
Kwani unaongelea mechi ipi sio na Iran
USA wamebebwa nini?Full time 2-1 USA [emoji631] goli zote mbili ni za penalties.
Sawa mkuu...Ni manchester yunaitedi ya hapa kinondoni ipo ndondo mkuu wangu shimba na buyenza