Aisee kwa nini nijihang?
Na kwako piaGood Night Every One.
Duh Dunia simama nishuke![emoji16][emoji16][emoji16]. Eti half people...
Sologamy imepamba moto. Watu wamechoshwa kudeal na wenza wanaamua kujioa wenyewe...
Kuna binti mmoja mwaka jana huko Spain alijioa. Hata mwaka hakumaliza akaanza kuliwa na co worker mwanaume ikabidi aanze kwenda kwa shrink kupata marriage counselling akijuta kujichitia mwenyewe...Dunia !!!
View attachment 1137680
Unajua hata hicho ni nini? Tumelengwa wahenga hapo...Aisee kwa nini nijihang?
Hiyo ni tochi, inatumia betri mbili kama sio tatu. Sikumbuki maana ni kweli nimeitumia zamani sanaUnajua hata hicho ni nini? Tumelengwa wahenga hapo...
Aisee. Nashangaa hapa. Siku zote nafikiri we pengine ni under 25. Hapa kwenye uzi tunawaitaga maandaeitini...Ila bado siamini hata hivyo...Hiyo ni tochi, inatumia betri mbili kama sio tatu. Sikumbuki maana ni kweli nimeitumia zamani sana
Daah inabidi nijtafakari mwenendo wanguAisee. Nashangaa hapa. Siku zote nafikiri we under 25. Hapa kwenye uzi tunawaitaga maandaeitini...Ila bado siamini hata hivyo...
Jamaniii [emoji16][emoji16][emoji16]Daah inabidi nijtafakari mwenendo wangu
Haha ni utani ila ujumbe umefika [emoji3][emoji3]Jamaniii [emoji16][emoji16][emoji16]
Ni utani wetu hapa kwenye uzi usiwe na shaka.