Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nyege si kitu kizuri sana kama tunavyofikiri,wala si jambo la kufanyia mchezo kama ambavyo wengi tunachukulia bali Nyege ni tatizo kama tatizo lingine serious ambalo linatakiwa litafutiwe ufumbuzi ili muhusika apate ahueni.
 
Nyege hufanya mtu awe na hisia za hali ya juu kuhusu masuala ya mapenzi iwe kufanya au kufanywa hivyo humpa wakati mgumu sana aliyepatwa na nyege hizo kwani inakuwa ngumu kufanya mambo muhimu kwa wakati huo kama vile kazi,kusoma hivyo huwa hatari sana kwa mtu kuendelea na shughuli za kawaida za uzalishaji mali
 
Hata hivyo kila mmoja amewahi kusikia au kushudia juu ya changamoto kubwa ya ajali inayokabili usafiri wa pikipiki au bodaboda. Wengine wamepata majeraha, kupoteza maisha, kupoteza mali au hata kupata ulemavu wa kudumu.
 
Pata elimu sahihi ya kuendesha pikipiki
Pikipiki ni chombo cha kitaalamu kinachohitaji maarifa sahihi ya kukitumia. Ajali nyingi zinatokana na watu kuendesha pikipiki bila maarifa sahihi ya kutumia chombo hicho pamoja na kanuni muhimu za usalama barabarani.
 
Hivi leo kijana hujifunza pikipiki kichochoroni kwa siku mbili na kuingia kwenye barabara kuu za mji, hili limefanya wengi kugongwa au kugonga watumiaji wengine wa barabara.

Ni muhimu kuhudhuria mafunzo stahiki ya kuendesha chombo cha moto ili kuepuka ajali.
 
Tumia pikipiki bora na salama
Vifaa badia au feki vimetawala soko. Baadhi ya pikipiki zimetengenezwa kwa viwango duni, jambo ambalo linaweza kusababisha ajali.

Ni muhimu kuhakikisha unatumia pikipiki bora ambayo haitakuletea hatari kama vile kukatika breki au kupasuka gurudumu kirahisi. Unaweza kuzingatia haya yafuatayo:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…