Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Walichokosea ni kupikia mwanamume wa Pwani wakijua ni wa kanda ya ziwa.

Uwe unasema siku nyingine ili wajue wanapikia mtu wa kula au kuharibu chakula.[/QUOTE
Nimecheka sanaaaaa!! Huko ndo ukandani mkuu, huo si utaratibu wa wasukuma tu, utaratibu wa wakanda ya ziwa karibu woteee, kuanzia ukerewe, kwa wakara, wazinza, wajita, wakurya na wengineo.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]. Mwanaume wa Dar anashangaa...Watu wanafanya kazi sana huko vijijini na inabidi wale sana. Pamoja na msosi wote huu lakini ni nadra kukuta mtu anaburuta kitambi. Natamani wangemwongezea na michembe kabisa huku ngoma za Budagala zikipiga pole pole [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…