capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Uzi huu umenichekesha sana. Kuna wanaolalamika. Kuna wanaosifia. Nashangaa mjadala haujahamia kwenye ushamba [emoji16][emoji16][emoji16]Watani zangu wasukuma hebu punguzeni matumizi ya vyakula, mnaharibu
Mnajifanya wajuaji kumbe mnaharibu Wakuu habari zenu leo nitaongelea hawa watani zangu wasukuma japo mimi ni mkazi wa morogoro, juzi juzi tulikua kijijini kwao na rafikiangu kwakweli tulipokelewa vizuri familia nzima ilikua na furaha ni familia yenye watu wengi tulionekana kua wageni kweli...www.jamiiforums.com
[emoji818][emoji818]