mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Heee aiseee hii kapo ilisofiwa sana imekuwaje tenaBreaking: Song Joong Ki Files For Divorce From Song Hye Kyo
Song Joong Ki has officially filed for divorce from Song Hye Kyo.
On June 27, Song Joong Ki’s attorney Park Jae Hyun officially announced, “Our law firm filed for divorce on behalf of Song Joong Ki at the Seoul Family Court on June 26. Additionally, we would like to convey Song Joong Ki’s official statement.”
In his statement, Song Joong Ki apologized to his fans and explained that he hoped for an amicable divorce.
View attachment 1139988
True jamaa ananyanyapaliwa ndani ya eneo la africa so sad.Inasikitisha sana View attachment 1139999
Hii issue yake inanisikitisha sana mimi. Mungu amsimamie katika wakati huu mgumu alionao jamaa azidi kupiga kazi nzuri afike mbaliTrue jamaa ananyanyapaliwa ndani ya eneo la africa so sad.
Inasikitisha sana View attachment 1139999
Miafrika ndivyo tulivyo. Kudharauliana. Kujidharau. Kuoneana...... Halafu tukitupiwa maganda ya ndizi na wazungu au kutukanwa na akina Trump na Putin tunalalamika. Shwaiiiniii [emoji36][emoji36][emoji36][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Malalamiko na masikitiko kutoka kwa Diatta wa Senegal
Nlgundua unafiki wa wabongo wengi kutokana na huyu jamaa Hafu nikajua kumbe kuna wa tz wanaume wana tabia za kike kike sana Maana hata dada zetu hawapo hivyo Yaan walionyesha tabia za kishost mfano kitenge , riziwan na wengine wengiwww.jamiiforums.com