DHANA YA KUCHEZEWA
Inawezekana kila mmoja akachambua kwa mtindo wake, lakini mwisho maana inabaki katika mlengo mmoja tu, kupotezewa muda, kutumika kimapenzi! Hiyo ndiyo maana ya moja kwa moja.
HATA WANAUME NAO HUCHEZEWA NA KUACHWA.
Wanateseka kama wanavyoteseka. Wanapata tabu na matatizo ya moyo sawa na wanawake. Hata hivyo, wengi hawapati nafasi ya kuwaelezea.
HATA WANAUME NAO HUCHEZEWA NA KUACHWA.
Wanateseka kama wanavyoteseka. Wanapata tabu na matatizo ya moyo sawa na wanawake. Hata hivyo, wengi hawapati nafasi ya kuwaelezea.
Hebu tujiulize pamoja, kuchezewa ni nini haswa? Kwanini wanawake wamekuwa na tabia ya kulalamika kwamba wamechezewa? Ni kweli kwamba wanaume nao hawawezi kuchezewa na kuachwa?