Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nimekosea kiaina bro. King kanisahihisha. Katalunya ni eneo kama koromije ndo maana wakazi wa hapo wanaitwa wakoromijeAsante kwa ufafanuzi. Uko vizuri [emoji122][emoji122]
Pundamilia zimekaa vizuriMijongeo...
View attachment 1141105
Iti izi oviazi bro. Nani mgumu humu? Hata kaPoti kanajifaraguaga tu lakini hakoo utakaona na mamizigo yake ya maua kanaenda kuchombeza [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23] Mkatalunya hutaki kupitwa
Ipo kwenye mafaili. Akikuruhusu nakurushia [emoji16][emoji16][emoji16]Nacheki na mtunza kumbukumbu wa kijiji, watu wa data Muhimu sana kuenda nao sawa
MauaHapo ndiyo nashangaa na Glass za wine kibao
Mwenyekiti anatudhihirishia kabisa kwamba Hamna Mgumu
πππ sureNacheki na mtunza kumbukumbu wa kijiji, watu wa data Muhimu sana kuenda nao sawa