Nimewaona nikakukumbuka. 5K yako masikini umeitolea jasho halafu wanakuja kuichukua tu kiulaini. Hawafai kabisa hawa bro....Ndio wale wale bro,wapigaji hawa
King Njoo kule unipe huu ubuyu01/07/... Ooh!
Hahahahaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1141103
Uko tayari?01/07/... Ooh!
NipoKwenye uzi huu hakuna mgumu hata mmoja [emoji16][emoji16][emoji16]
Tarehe 1 Julai anaanza UE...[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]King Njoo kule unipe huu ubuyu
Bomba sana