Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyo ni nwanko KANU akiwa kwenye chumba cha kubadilishia nguo cha Nigeria,akiwapa courage pamoja na ushaur wa kiufundi.Amecheza club nyingine za ulaya ikiwemo arsenal.juz wakat Cameroon wanacheza tulimwona samwel etoo na halftime alienda kwenye dressing room km alivyo Fanya KANU.Jana Kenya walikuwa na maliga ambaye amecheza inter Milan ya Italy. Tanzania tulikuwa na MAKONDA.
*Kwako Mwl. Kashasha...!!!!!* [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…