Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ila ile mechi ilistahili kuwa semi final or final. Isije tokea nusu fainali na fainali ikawa ni midebwedo kwa kukosa ushindani. USA πŸ‡ΊπŸ‡Έ wana speed kubwa na wako very strong France walistahili kushinda ila hawana wafungaji wazuri kuna kipindi walishambulia sana lakini hawakuweza kuziona nyavu.

jana france wamekutana na watoto wa trump kilichowakuta mpaka muda huu hawajavua bukta zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…