Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kubadirisha badirisha mishedede kuna raha gani?
Huyu dada ana tatizo.
Mwanamke lazima uwe na subira
Hana matatizo anafanya ile kitu roho inapenda... Maisha yenyewe hayahaya.. havumiliagi ujinga..
Mbona Marc Anthony ( The hubby before the previous hubby) alikuwa anatoka na vi-supermodel vidogo anabadili kama mashatii.. ila yeye hasemwiii... Aaa
 
Ni haki yake ingawa baadhi ya watu nikiwemo, siamini mahusiano yenye kubarika badirika.
Hana matatizo anafanya ile kitu roho inapenda... Maisha yenyewe hayahaya.. havumiliagi ujinga..
Mbona Marc Anthony ( The hubby before the previous hubby) alikuwa anatoka na vi-supermodel vidogo anabadili kama mashatii.. ila yeye hasemwiii... Aaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…