Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

JamiiForums kwa Twitter ni cha mtoto, yaani kule watu wamepinda aisee! Wanawasemea mbovu hao maccm mpaka yanakimbia kila wakijaribu kufurukuta wanapigwa tena. Natamani na kitaa ingekuwa hivyo labda ingesaidia kuwaondoa hawa wahuni madarakani.
Ila ubaya wa kule ukifanya masihara wasio julikana wanadili na wew bora hapa unaweza kujificha πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…