Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
Tena kwa wingi
Hapa ni macho tu..
Ni kwa neema tu na si vinginevyo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1144965
Japo ni kifo cha ghafla kisicho na mateso ila sipendi hii kitu basi tu sina uwezo...Hizi radi za hivi karibuni zinatisha sana. Kuna moja ilipiga juzi usiku saa nne za usiku hadi nikakosa amani moyoni. Acha kabisa Mkuu.
Mamboz
Wadau nipo one day ago nagonga likes