Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hahahahaha
Japo ni kifo cha ghafla kisicho na mateso ila sipendi hii kitu basi tu sina uwezo...
Kifo mwanaharamu kabisa aisee. Hakifai hata kwa kurumangia [emoji36][emoji36][emoji36]Kifo hakikimbiliwi na pia hakikimbiwi kamanda, kujiandaa kisaikolojia tu huku ukikumbuka utufu wa Muumba
Weusi. Na roho zetu nyeusi...Ndiyo tulivyo, ovyo sana