Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mie naogopa sana hiyo Mkuu hasa sehemu zenye watu wengi mrembo anaweza kukuzushia kwamba umemshika ziwa au tako. Juzi ilinitokea sehemu ya watu wengi nikamgusa tako kwa bahati mbaya mrembo akageuka kwa haraka sana huku anatabasamu mie samahani zinanitoka za mfululizo akaniambia it’s okay nikabaki nashukuru Mungu kimoyo moyo halafu mrembo ni bomba balaa na mshepu wake hmmm!

Mtu anaweza kuibuka leo eti ulimshika boobs bila consent yake wakati mkiwa high school 20 yrs ago na akakuharibia maisha...hovyo kabisa !!!
 
Dada yenu huyo, mkombozi wenu, mijitu na Akili timamu na usomi juu inaona mkombozi wao, kuna watu wameshakufa bado kuoza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…