capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Nipeleke na mimi huko nataka kufikaPazuri mnooo...kila mtu abatamani kufika ha ha haaa
Ongeza kidogo...ha ha haaa...Kujiendekeza tu...
Juhudi za pamoja za mwongozaji na utayari wa kihisia wa mwongozwaji vinahitajika ili kupafikia hapo pazuri panapoliliwa. Vinginevyo ni kutupiana lawama tu zisizo na msingi... Volume inatosha au niongeze kidogo?[emoji351][emoji351]
Huko nampeleka baba Sikujua tuu!Nipeleke na mimi huko nataka kufika
Me pia ni baba sikujua!Huko nampeleka baba Sikujua tuu!
Ha ha haaa...wewe baba Sikitu...mama Sikitu mkalii...asijenichamba...Me pia ni baba sikujua!
Ha ha haaa.....
Baba si kitu?! Umejuaje kama mkali?Ha ha haaa...wewe baba Sikitu...mama Sikitu mkalii...asijenichamba...
Hivi huu unyau ni wa kweli?[emoji779]BREAKING NEWS:
*All whatsapp servers are down for maintenance. Downlink is not possible*
Audio, video & images can't be downloaded.
Nilikuona nae kwenye harusi ya Sikudhani ulivyomtolea macho Chausiku ha ha haaaBaba si kitu?! Umejuaje kama mkali?
Wew Donatila wewe 😧Hivi huu unyau ni wa kweli?