Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Beki wa kati wa Bournemouth na Uholanzi Nathan Ake,24, sasa anawindwa na Manchester City kwa dau la pauni milioni 40. City wanamtaka mchezaji huyo kama mbadala wa Harry Maguire anayeonekana kama anaelekea Man United. (Sunday Mirror)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…