JamaniiiNmekusemea pia
Wewe na Kiggy
Bado nimekodoaThought ushalala kitamboo
Unakodoa nini tukodoe wote?Bado nimekodoa
umelipenda naona hili kiss la Becky na daughter wake...
Hamna cha maanaUnakodoa nini tukodoe wote?
Anafanya nikukumbuke tu usiku huu. Njoo tukumbushie basiumelipenda naona hili kiss la Becky na daughter wake...
Okay, nilikukosa sana laknHamna cha maana
😂😂😂 Coco buana..Anafanya nikukumbuke tu usiku huu. Njoo tukumbushie basi
Kwa hiyo wewe hukumbushwi hapo? Huja miss french kiss?😂😂😂 Coco buana..
Sasa mtu na babaake wapi na wapi?
Trick Question...Kwa hiyo wewe hukumbushwi hapo? Huja miss french kiss?
AhayaTrick Question...
It is a trap Fraggy🤔