BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,767 Reaction score 288,340 Jul 9, 2019 #987,761 "Makocha wa muda watatangazwa baada ya Kamati ya Dharura ya Kamati ya Utendaji (Emergency Committee) itakapokutana Julai 11,2019," inasema taarifa ya TFF.
"Makocha wa muda watatangazwa baada ya Kamati ya Dharura ya Kamati ya Utendaji (Emergency Committee) itakapokutana Julai 11,2019," inasema taarifa ya TFF.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,767 Reaction score 288,340 Jul 9, 2019 #987,762 Mchakato wa kutafuta Kocha mpya umeanza mara moja.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,767 Reaction score 288,340 Jul 9, 2019 #987,763 Amunike alipewa kibarua cha kuinoa Tanzania maarufu kama Taifa Stars mwezi Aprili 2018.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,767 Reaction score 288,340 Jul 9, 2019 #987,764 Atabakia kwenye historia ya mpira Tanzania kwa kuingoza nchi hiyo kufuzu kwenye mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) baada ya miaka 39.
Atabakia kwenye historia ya mpira Tanzania kwa kuingoza nchi hiyo kufuzu kwenye mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) baada ya miaka 39.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,767 Reaction score 288,340 Jul 9, 2019 #987,765 Kabla ya hapo alinyanyua Kombe la Dunia 2015 akiwa kocha wa timu ya vijana wa chini ya miaka 17 Nigeria.
Kabla ya hapo alinyanyua Kombe la Dunia 2015 akiwa kocha wa timu ya vijana wa chini ya miaka 17 Nigeria.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,767 Reaction score 288,340 Jul 9, 2019 #987,766 Kocha huyo ni winga wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria na klabu ya Barcelona.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,767 Reaction score 288,340 Jul 9, 2019 #987,767 Hata hivyo, Amunike amekuwa akilaumiwa na baadhi ya mashabiki kwa namna anavyoteua wachezaji na kupanga kikosi.
Hata hivyo, Amunike amekuwa akilaumiwa na baadhi ya mashabiki kwa namna anavyoteua wachezaji na kupanga kikosi.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,767 Reaction score 288,340 Jul 9, 2019 #987,768 Katika mashindano yanayoendelea nchini Misri, Tanzania ilitolewa baada ya kupoteza michezo yote ya makundi.
Katika mashindano yanayoendelea nchini Misri, Tanzania ilitolewa baada ya kupoteza michezo yote ya makundi.
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jul 9, 2019 #987,769 [emoji23][emoji23]
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jul 9, 2019 #987,770 Karibu jirani
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jul 9, 2019 #987,771
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jul 9, 2019 #987,772
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jul 9, 2019 #987,777 capitalpool said: View attachment 1149431 Click to expand... chaliiii....
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jul 9, 2019 #987,778 Salam kwenu
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jul 9, 2019 #987,779 Amani itawale siku yetu
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Jul 9, 2019 #987,780 Asubuhi njema kwa wadau