Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna vyakula vya aina nyingi sana ktk dunia tunayoishi,lakini si vyakula vyote vinaliwa na kila mtu,hii inatokana na sababu mbalimbali zikiwemo za kiuchumi,gharama,upatikanaji wa chakula husika ktk eneo,mila na desturi za watu husika,itikadi za kidini,sera za tawala,uelewa wa jamii hiyo juu ya chakula hicho n.k
 
Watu upendelea zaidi kula vyakula vinavyopatikana kwa wingi na tena kwa gharama nafuu ktk eneo wanaloishi,kuna baadhi ya vyakula vi[napatikana baadhi ya maeneo fulani tu duniani na sio kila eneo,lakini pia vipo vyakula ambavyo utumia gharama ya juu zaidi uzalishaji na uandaaji wake hivyo kufanya watu wengi kushindwa kuzalisha au kununua vyakula vya aina hiyo
 
Hivi ni baadhi ya vyakula vya gharama za juu zaidi kuwahi kuwepo duniani,asilimia kubwa ya vyakula hivi uliwa na watu maarufu,matajiri kama wachezaji mpira,wanasiasa,wafanyabiashara wenye vipato vya juu,wakati mwingine vyakula hivi uliwa kwa matukio maalum tu.
 
Hivi ndivyo vyakula maarufu na vya gharama ya juu zaidi duniani,baadhi ya vyakula vina gharama kubwa kiasi fedha yake unaweza kujenga nyumba ya kawaida iliyokamilika au hata kununua gari nzuri ya kifahari.
 
1.VYAKULA VILIVYOZALISHWA KWA UMBILE MAALUM


Vyakula vya matunda ambazo zinazalishwa kwa umbile maalum kama la moyo,mnyama na k.n ni vyakula vinavonunuliwa kwa gharama kubwa sana
 
3.DRY-CURED IBERIAN HAM
Ni chakula kinachopendwa kuliwa na watu wa nchi ya uhispania,ugiriki,macedonia na latin amerika,chakula hiki ugharimu hdai dola $392 ikiwa sawa na shilingi laki nane na thamanini elfu za kitanzania kwa mlo mmoja.
 
3.DRY-CURED IBERIAN HAM
Ni chakula kinachopendwa kuliwa na watu wa nchi ya uhispania,ugiriki,macedonia na latin amerika,chakula hiki ugharimu hdai dola $392 ikiwa sawa na shilingi laki nane na thamanini elfu za kitanzania kwa mlo mmoja.
 
5.AYAM CEMAN BLACK CHICKEN

Kuku huyu mwenye nyama ya rangi nyeusi upendwa na watu wengi kwakuwa ana radha ya kipekee,kuku hawa wanapatikana maeneo machache duniani na hii kufanya kuku hawa kuwa wana gharama kubwa kupata nyama zake,kilo moja ya nyama ya kuku huyu mweusi ugharimu dola $200 sawa na shilingi laki nne na nusu.
 
6.WHITE TRUFFLES

Zao hili la mizizi linalo shabihiana kabisa na zao la tangawizi uzalishwa kwa gharama kubwa na utumika kama kiungo kwa vyakula mbalimbali,kilo moja ya zao hili ufikia hadi dola $2,100 sawa na shilingi milioni nne na laki saba kwa kilo moja tu.
 
8.SWALLOW NEST SOAP

Huu ni mchuzi maalum unaotakana na ndege hawa wanaopatikana nchini china,mongolia,mchuzi na nyama yake iliyotaarishwa kitaalam ugharimu zaidi ya dola $3,000 sawa na shilingi milioni sita na laki saba na nusu kwa bakuli moja tu la mchuzi.
 
9.KOPI LUWAK COFEE

Aina hii ya kawaha ya kipekee inayozalishwa ktk nchi za Indonesia,India na Ufilipino upendwa sana duniani hasa na watu wanaopenda kunywa kinywaji hikicha kahawa au kuchanganywa na vyakula au vinywaji vyengine.

Kahawa hii ugharimu zaidi ya dola $1,200 kwa kilo moja tu sawa na shilingi milioni mbili na laki saba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…