Kiingereza kukisoma kwa kiswahili kuna utata sana
Naona unaunguza haswaaaMmmh mkuu isidingo ni motooooo
Akiwa mwanamke pia huitwa player ama kuna jina lingine?Players!!
Isidingo ni fireee
Hehe..kabsa mkuu mana inabd kwanza uwaze kila neno hlf uunganishe ndy ujue kumbe kaandika kwa kiingereza then sasa ndy ulete tafsir ya kiswahili!Hahahahaha lol! Ukizichanganya hizi lugha mbili wakati mwingine kunakuwa na matokeo hasi.
πππππUkisoma hii kitu kiswahili ni balaaa tupu!
ππππππππ
Nyinyi watu mnadhambi sana π πUkisoma hii kitu kiswahili ni balaaa tupu!
ππππππππ
Niko sawa Fraggy, pole na majukumu ya kila siku.I am good Coco..
How is you?
Nmeona! ila nmeelewa zaidi nilipo soma comment yako πHahahahaha mie kanistua Mkuu honestty
Nmeona! ila nmeelewa zaidi nilipo soma comment yako π
Wacha nisubiri reaction ya Numbisa