Maana support yako haijawahi niacha salamaUsijali nitalipa tu....weitaaaa zungushaaaa[emoji23] [emoji23]
Nilipaliwa kiongoziTayari
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Wazae mapema ukiwa unafika miaka 30 wawe wanakusaidia hata kukutengenezea chai
Ivi Jembekillo yukwapiHeri ya betting mpunga ukikata unatylia
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Wengi nawajua walilinga jamani waliringa hafi leo hata wa kuwazalisha hawapati na yote waliyonayo
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Malengi ya wazazi wengi miaka hii imerudi kuwa kama zamani, kuwaandaa watoto wakiwa wanamaliza chuo wanajua nina mwenza wanafikiria kuanza familia
Kama enzi zile za 60s 70s
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ww CIO mzmaSipendi kukutana na wanuka jasho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiiHaswa makwapa
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Ukizaa watoto wasafishe vizuri mwanzoni tumia hata mafuta ya mawese au olive oil... siku wakiwa home tu ogesha
Eti ugonge likes. Ina maana hakuna posts zingine unakoweza kugonga likes? We jamaa ni shida!jakitoo weka post nigonge likes
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Namshukuru mungu nilikua sijui ma deodorant na sikunuka
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Napenda kufunza watu usafi