Hahahahaha
Gr8Mkuu poa, habari za Dodoma mkuu
Angeachia pogba na lukaku waondoke ingekua poa sana. Kulazimisha wachezaji kubaki ni system ya kizamaniHata mm naweka mkeka wangu hapo
KweliSimba mwendapole ndiye mla nyamaView attachment 1151250
Halafu nilikuwa sijui hivi Rashford ana nini zaidi mnamlipa £200,000 useless kabisaAngeachia pogba na lukaku waondoke ingekua poa sana. Kulazimisha wachezaji kubaki ni system ya kizamani
Man u bado haijapata kiongozi bora,ndio maana wachezaji wanajiamulia mishahara watakavyo. Cheki man city wamebanwa kiasi kwamba hakuna anayeropoka ovyo kwenye mediaHalafu nilikuwa sijui hivi Rashford ana nini zaidi mnamlipa £200,000 useless kabisa
Za jioniHabari zenu ndugu zangu